Kitambulisho kimehakikiwa

Mary Kweka

Mwenye nyumba Mikocheni, Kariakoo na Mwenge

@mary.kwekaKwenye Ghetto tangu Septemba 2026

4.9kutoka kwa watu 14
5matangazo yanayopatikana
Saa 1muda wa kujibu
Fungua kwenye Ghetto

Maoni ya watu walioona au kupanga

4.9

kutoka kwa watu 14 walioona au kupanga kupitia Ghetto

  • 512
  • 42
  • 30
  • 20
  • 10
  • Neema J. Aliona apartment Mikocheni, Novemba 2026 5

    Picha zilikuwa sawa na nyumba yenyewe. Alifika kwa wakati na alieleza kila bili.

  • Peter K. Amepanga Kariakoo tangu Agosti 2026 5

    Gharama ya kuhamia ilikuwa ileile niliyoiona kwenye app.

  • Asha M. Aliona fremu Mwenge, Oktoba 2026 4

    Alijibu ndani ya saa moja, tukapanga siku ya kuona fremu.

Unachoweza kuhakiki

  • Kitambulisho kimehakikiwaGhetto imehakiki kitambulisho cha Mary kabla alama haijaonekana. Haimaanishi tumekagua nyumba au makubaliano.
  • Matangazo anayoyathibitishaMary anathibitisha kila tangazo Ghetto inapouliza. Lisilothibitishwa linaondoka lenyewe.
  • Lipa baada ya kuonaUsilipe kodi, amana au ada kabla ya kuona nyumba na kusaini mkataba.

Kuripoti hakupatikani sasa. Tutumie email.

ghetto@solvitasinnovations.co.tz

Mwandikie Mary kwenye Ghetto

Tazama video, omba kuona nyumba na chat naye kwenye app.

Mary Kweka5 zinapatikana Fungua kwenye Ghetto