Hifadhi utafutaji
Nyumba inayokufaa ikitangazwa, Ghetto inakujulisha.
Mbezi, vyumba 3, hadi TZS 1,500,000Nyumba ya vyumba 3 Mbezi Luis, TZS 1,300,000 kwa mwezi. Mita yako ya LUKU, kisima na tanki.
Angalia video, chuja unachotaka, ujue gharama zote za kuhamia na bili mapema. Unatembelea nyumba ulizopenda tu.
Kila nyumba inaonyesha gharama ya kuhamia: kodi ya miezi ya mbele pamoja na ada ya dalali, kama ipo.
Apartment Sinza, Ubungo
TZS 250,000 / mwezi
Kuhamia, miezi 6: TZS 1,500,000
Imethibitishwa dakika 7 zilizopita
Nyumba Mbezi Luis, Ubungo
TZS 1,300,000 / mwezi
Kuhamia, miezi 6: TZS 8,450,000
Imethibitishwa dakika 18 zilizopita
Apartment Mabibo, Ubungo
TZS 310,000 / mwezi
Kuhamia, miezi 3: TZS 930,000
Imethibitishwa saa 1 iliyopita
Apartment Mikocheni, Kinondoni
TZS 1,200,000 / mwezi
Kuhamia, miezi 12: TZS 14,400,000
Imethibitishwa saa 2 zilizopita
BQ Bunju, Kinondoni
TZS 160,000 / mwezi
Kuhamia, miezi 3: TZS 480,000
Imethibitishwa saa 2 zilizopita
Nyumba Tegeta, Kinondoni
TZS 1,050,000 / mwezi
Kuhamia, miezi 6: TZS 6,300,000
Imethibitishwa saa 3 zilizopita
BQ Kawe, Kinondoni
TZS 190,000 / mwezi
Kuhamia, miezi 6: TZS 1,235,000
Imethibitishwa saa 4 zilizopita
Apartment Kinondoni, Kinondoni
TZS 1,100,000 / mwezi
Kuhamia, miezi 12: TZS 13,750,000
Imethibitishwa saa 5 zilizopita
Apartment Kariakoo, Ilala
TZS 350,000 / mwezi
Kuhamia, miezi 6: TZS 2,100,000
Imethibitishwa saa 6 zilizopita
Nyumba Masaki, Kinondoni
USD 4,100 / mwezi
Kuhamia, miezi 12: USD 53,300
Imethibitishwa saa 8 zilizopita
Ona gharama ya kuhamia na gharama halisi za mwezi. Kila bili inaonyesha kama imejumuishwa, mnachangia au unalipa peke yako.
Pamoja na umeme na maji unayotumia, kwa mita zako.

Nyumba inayokufaa ikitangazwa, Ghetto inakujulisha.
Mbezi, vyumba 3, hadi TZS 1,500,000Nyumba ya vyumba 3 Mbezi Luis, TZS 1,300,000 kwa mwezi. Mita yako ya LUKU, kisima na tanki.
Ni walioona nyumba au kuishi humo kupitia Ghetto tu wanaoweza kutoa maoni.
Barabara ni ya lami hadi getini, kama kwenye video. Maji yalikuwa yanatoka siku zote mbili nilizokuja.Alipanga kuona kupitia Ghetto
Mwenye nyumba anatuma risiti kwa kila malipo. Service charge ilikuwa sawa kabisa na tangazo.Alipanga kupitia Ghetto
Maoni ya mfano.
Si kodi, si amana, si ada ya booking. Mtu yeyote akikuomba, ripoti tangazo lake kwenye app.
Panga kwa usalamaNyumba na fremu za biashara kote Dar es Salaam, kwa Kiswahili na Kiingereza.