Picha za hali ya nyumba
Piga picha kila chumba siku ya kuhamia na mpangaji azithibitishe, ili wakati wa kuhama mjadili ukweli, si mabishano.
Nani amelipa hadi lini, nani anafuata kulipa, na risiti ya kila malipo.
Simamia nyumba zakoWapangaji wengi hulipa miezi 3, 6 au 12 kwa pamoja, kila mmoja kuanzia tarehe yake. Ghetto inaonyesha kila mmoja amelipa hadi lini, na nani anafuata kulipa.
TZS 900,000 kwa miezi 3.
TZS 2,100,000 kwa miezi 6. Amelipa hadi 14 Mac 2027.
Na. 0142, TZS 2,100,000.
Kwenye app kabla ya tarehe, na kwa SMS kodi ikichelewa.
Pesa taslimu, simu au benki. Tarehe ya amelipa hadi inasogea yenyewe.
Mpangaji anayetumia Ghetto anaiona kwenye app. Kwa wengine, unaituma kama ujumbe.
Piga picha kila chumba siku ya kuhamia na mpangaji azithibitishe, ili wakati wa kuhama mjadili ukweli, si mabishano.
Andaa kutoka kwenye kiolezo, mnasaini wote kwenye simu, na Ghetto inakukumbusha kabla haujaisha.
Mpangaji anatuma tatizo na picha. Unalifuatilia hadi lirekebishwe na mpangaji athibitishe.
Wapangaji na picha za mfano.
Ukiandika kuwa mpangaji ameondoka, Ghetto inakuuliza kama ukitangaze. Unachagua nani akipangishe.
Ongeza nyumba na wapangaji wako, Ghetto inatunza tarehe. Kwa Kiswahili na Kiingereza.