Fremu ya biasharaFremu ya biashara Mwenge
Mwenge, Kinondoni
Imethibitishwa dakika 48 zilizopita
- Upande wa barabara
- Mita 5 kwenye barabara ya lami, karibu na stendi ya Mwenge
- Ukubwa wa fremu
- 4 × 6 m, mita za mraba 24
- Umeme
- Three phase, LUKU yake peke yake
- Biashara inayoruhusiwa
- Duka, ofisi au saluni
- Kilemba (key money)
- Hakuna
- Kodi na gharama ya kuhamia
- TZS 460,000 kwa mwezi, miezi 12 mbele: TZS 5,520,000


