Tafuta nyumba
Video kwanza, vichujio vya mambo muhimu hapa, na gharama ya kuhamia kabla hujaenda.
Tafuta nyumbaApp moja kwa mahitaji yako yote ya makazi.
Imethibitishwa dk 21 zilizopita 

Kila nyumba inaonyesha mwenye tangazo aliithibitisha lini mara ya mwisho. Zilizochukuliwa zinaondolewa kila mahali.
Apartment Kariakoo, Ilala
TZS 350,000 / mwezi
Imethibitishwa sasa hivi
Apartment Mikocheni, Kinondoni
TZS 1,200,000 / mwezi
Imethibitishwa dakika 7 zilizopita
BQ Kawe, Kinondoni
TZS 190,000 / mwezi
Imethibitishwa dakika 21 zilizopita
Fremu ya biashara Mwenge, Kinondoni
TZS 460,000 / mwezi
Imethibitishwa dakika 48 zilizopita
Nyumba Tegeta, Kinondoni
TZS 1,050,000 / mwezi
Imethibitishwa saa 1 iliyopita
Apartment Sinza, Ubungo
TZS 250,000 / mwezi
Imethibitishwa saa 2 zilizopita
Nyumba Masaki, Kinondoni
USD 4,100 / mwezi
Imethibitishwa saa 2 zilizopita
Fremu ya biashara Kimara, Ubungo
TZS 230,000 / mwezi
Imethibitishwa saa 3 zilizopita
Apartment Mabibo, Ubungo
TZS 310,000 / mwezi
Imethibitishwa saa 4 zilizopita
Apartment Mbezi Beach, Kinondoni
USD 2,200 / mwezi
Imethibitishwa saa 5 zilizopita
Video kwanza, vichujio vya mambo muhimu hapa, na gharama ya kuhamia kabla hujaenda.
Tafuta nyumba
Maduka, ofisi na maghala yenye upande wa barabara, ukubwa wa fremu na umeme wa three phase.
Ona fremuTangaza mara moja Facebook na Telegram. Kila tangazo lina linki yenye taarifa za sasa.
Tangaza kama dalali
Kila mpangaji amelipa hadi lini, vikumbusho na risiti, kwenye simu yako.
Simamia nyumba zako
Mary ameweka taarifa ya mpangaji kuhama asubuhi hii.
Tangazo limeshushwa wakati mwenye tangazo anaulizwa.
Mary ana nyumba 3 zaidi zinazopatikana Mikocheni.
Mwenye nyumba akiweka taarifa kuwa mpangaji ameondoka, nyumba inaweza kutangazwa. Dalali akiweka kuwa imechukuliwa, tangazo linaondolewa.
Kila tangazo linaonyesha lilithibitishwa lini mara ya mwisho. Mwenye tangazo asipothibitisha tena Ghetto inapouliza, tangazo linaondoka lenyewe.
Wanaoacha nyumba zilizochukuliwa hewani wanapoteza alama ya uthibitisho, na wanaweza kusimamishwa.
Kila tangazo lililoshirikiwa lina linki yenye taarifa za sasa. Nyumba ikichukuliwa, linki inaonyesha nyumba nyingine za mwenye tangazo ambazo bado zipo.
Angalia video, kagua bili, na uone utakacholipa siku ya kwanza: kodi ya miezi ya mbele, ada ya dalali, na kila bili ikionyesha kama imejumuishwa, mnachangia au unalipa mwenyewe.
Usilipe kodi, amana au ada kabla ya kuona nyumba na kusaini mkataba.
Dalali, Kinondoni
Kitambulisho kimehakikiwa
Wasifu wa mfano.
Nyumba na fremu za biashara kote Dar es Salaam, kwa Kiswahili na Kiingereza.